Na,
Obed Kayombo
Mbunge wa Bumbuli Mkoani Tanga Mh January Makamba aahidi kulipa
mshahara kwa wachezaji wote pamoja na huduma mbalimbali kama vile
chakula na Usafiri kwa kipindi cha mwaka mmoja.
Mbunge huyo na Mdau mkubwa wa Coastal Union aliyasema hayo septemba
17,mwaka huu katika uwanja wa Ccm Mkwakwani Mkoani Tanga mara baada ya
kumalika mchezo wa kwanza wa ligi daraja la kwanza ambao
uliwakutanisha wenyeji Coastal Union dhidi ya Mbeya Kwanza ya Mkoani
Mbeya.
Hata hivyo Makamba awahakikishia mashabiki na wapenzi wa Coastal Union
kushikamana nao ilikuhakikisha Timu hiyo inarudu katika enzi zake “Kwa
imani yangu ni kwamba ambapo siku ya leo nimepata bahati ya kuhudhuria
mchezo ambapo timu yetu sasa inatakakurudi katika enzi zake imani
yangu ni kwamba safari hiyo itakamilika vizuri na mimi kama mshabiki
lakini kama kiongozi wa Tanga nimewaambia Viongozi wa Coasta union
kuwa safari hii Timu yetu wachezaji hawata kosa mishaara,chakula wala
pesa ya kusafiri” Alisema Mh Makamba.
Na mchezo huo ulimalizika kwa timu ya Coastal union kuibuka na ushindi
wa Goli moja kwa sifuri,goli ambalo limefungwa na Raidhim Haffidh
mnamo dakika ya pili ya nyongeza katika kipindi cha kwanza.
No comments:
Post a Comment